Wadau heshima kwenu,
Nimekuwa nikihangaika jinsi ya kumonitor duka langu hasa wakati niko safarini na kuna mdau alinidokezea kuwa naweza kupata camera ndogo za siri zinazoweza kurecodi matukio...
Nauza cm nokia lumia 525 kwa bei poa ya sh 120000.
Cm ina internal memory na extenal memory.
Internal ina 7gb.
Extenal ina 2gb
Pia inakamera kali sana. Njoo inbox au piga 0657623266
Kwa yeyote anaehtaji laini ya uwakala anichek, kama ndo unaanza biashara Hii naweza kukupa mfumo wa kazi na mbinu zote,
Gharama tsh.200,000/= tu, mwenye uhitaji nicheki kwa kupatana na kufanya...
Je unahitaji kuscan document zako kiurahisi?
Jipatie hand scanner inayotumia betri uweze kuscan document/picha zako kiurahisi ukidhihifadhi kwenye memory card kwa mtindo wa pdf/img.
Ni rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.