Natafuta nguo kama hii

Natafuta nguo kama hii

am a girl

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
748
Reaction score
506
Mambo zenu,wapi naweza kupata gauni kama hili ila refu lake.
kkoo nimezunguka had bas,naomba kutajiwa duka au eneo lenye naweza kupata ndefu yake plz.
PhotoGrid_1482641173741.png
 
Ijia home ninalo halafu kidogo tu niligawe.
Ni refu hata ukiruka mstari wa siafu hawawezi kukuchungulia pia lina bee proof ndani sababu ya hayo maua.
 
Be serious!! Hii post haipo jukwaa la utani[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Mambo zenu,wapi naweza kupata gauni kama hili ila refu lake.
kkoo nimezunguka had bas,naomba kutajiwa duka au eneo lenye naweza kupata ndefu yake plz.
Tabata bima pale kuna viduka pale lipo tena ni refu wanayauza 40elfu, niliona kama mwezi umepita hivi sijuwi kama litakuwepo nenda kaangalie japo
 
Asante,ntaenda kuulizia.
 
Be serious!! Hii post haipo jukwaa la utani[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
We ndo haupo siri-hasi kunikuoti bila kunidirekti ili kufika jukwaa la utani napanda magari gani me ngeni huku ntwara.
 
Back
Top Bottom