NATAFUTA KIWANJA - DODOMA

MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
506
272
Kiwe barabarani kwa ajili ya kuweka Fremu ya biashara yangu ambayo naama nayo kwenda Dodoma. Hata kama ni maeneo ya viwanja vipya watu wanajenga ni sawa tu ili mradi pafae kwa biashara.
Kama unacho ni PM au nitumie sms tu kwenye no. 0712-729-015. Niambie eneo, size na bei yako. Kabla ya kununua nitakuja kukuiona.
Tafadhali tuma sms usipige.
Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom