Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Heri ya krismass Baada ya simu yangu kupigwa na wahuni wakati tukila gambe mbili tatu nimeona hali imekuwa mbaya kupata tena simu kamaya aawali, nimeamua nitafute walau note 3 , je kama unayo na...
0 Reactions
1 Replies
517 Views
Ndugu nawataarifu kuwa nyumba imeshapata mpangaji,ahsanteni.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Tunatengeneza Magril ya aina mbalimbali kwa bei nafuu...tunakufikia popote ulipo Dar es salaam call 0758 92 90 87 office ipo mtoni kijichi
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Pagama( nyumba ambayo haijaisha)imefikia hkwenye hatua ya kuweka linta na lina vyumba vitatu vya kulala kimoja wapo ni master,sebule,sehemu ya kulia,jiko na stoo ipo maeneo ya Buyuni kituo kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Kama kichwa cha habari kinavyosema. Simu ni Huawei Ascend P6 Ram 2 GB Back Camera 8 MP Front Camera 5MP Coard Core 1.5 GHz Cortex A9 Simu iko katika hali nzuri kabisa. Nakupa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
PATA USAFIRI WA UHAKIKA KUTOKA KWA CORPORATE TOUR. Katika kipindi hiki cha sikukuu Corporate Tour inakuletea usafiri bomba kwa ajili ya WEDDING, KITCHEN PARTY,SENDOFF na TOURS na sherehe...
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Bado liko katika hali Nzuri Mnoo Bei :150,000 nipo Dar Kigamboni Mob: 0718 295 182 •••••••••••••••••••••• Bango
0 Reactions
6 Replies
20K Views
Punguzo la sikukuu...85,000.= Kwa aina zote..... 0715-011022
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari, Natafuta simtank iliotumika but nzima yenye ujazo wa lita3000. Muuzaji awe maeneo ya Dar es Salaam. Nicheki inbox (pm) tuongee biashara. Asante
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Wakuu msaada wenu kama kichwa cha habari kinavyosema kabla sijaingizwa kingi Nawasilisha
2 Reactions
56 Replies
26K Views
Ndugu wana JF....... Nina kiwanja kinauzwa. Kipo Bunda, kata ya Balili na mtaa wa Balili. Kipo umbali wa 0.5KM toka barabara ya Mwanza Musoma mkono wa kulia ukiwa unatokea Mwanza kwenda Musoma...
0 Reactions
3 Replies
852 Views
Hope mpo salama wakuu, naomba kuuliza hivi bei za printing machine ziko bei Gani? Nahitaji t shirt printing machine nianzishe ka biashara
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Natafuta TV ya nchi 43 iwe Sony au Samsung au Kg Nina laki 600,000 /= tuu hata Kama imesha tumia 0752340373
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Nauza simu tecno boom j8 copy ila inasupport kila kitu contact 0683848116
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ina vyumba vitatu, kimoja Ni master+choo cha public+Sebule+Dining Room+jiko+ +maji +fensi na Parking ya gari ndogo 5+luku inajitegemea Ipo Kigamboni km 1 toka kwenye pantoni Bei: Tsh. Laki 3.5...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
jaman,samahanini sana. kwa mwenye uzoefu wa bei za godoro la tanfoam 5×6 inchi 10 naomba anijuzee. maana kabla mwaka haujaisha ,itabidi nijitahidi kupata godoro ya kulalia. natangulisha shukran...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natafuta Toyota Vitz ya 3mil ambayo ni number A au B,mwenye nayo anitafute!, inbox.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau natafuta Eneo lenye ukubwa wa Eka 3-4 katika maeneo ya Pugu, Congo la Mboto Na Kivule.Bei ni MUHIMU .Simu 0752334403
1 Reactions
3 Replies
857 Views
Back
Top Bottom