LUMIA 640XL MSAADA TAFADHARI

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
646
500
Habari wakuu naombeni kufahaamu juu ya hii simu kwani nataka kuinunua ikiwa mpya dukani pia naomba kufaham kwa dar ntapata sehem gani na pia kuhusu suala la bei je ubora wake na sifa zake ni zipi ? naombe msaada wakuu
 
shamis3579

New Member
Dec 13, 2016
2
20

IPO bombs Sana bei laki nne.ilove Microsoft.
 
shamis3579

New Member
Dec 13, 2016
2
20
Habari wakuu naombeni kufahaamu juu ya hii simu kwani nataka kuinunua ikiwa mpya dukani pia naomba kufaham kwa dar ntapata sehem gani na pia kuhusu suala la bei je ubora wake na sifa zake ni zipi ? naombe msaada wakuu
IPO powa Sana ondoa shaka
 
the locksman

JF-Expert Member
May 5, 2012
1,001
1,500
Habari wakuu naombeni kufahaamu juu ya hii simu kwani nataka kuinunua ikiwa mpya dukani pia naomba kufaham kwa dar ntapata sehem gani na pia kuhusu suala la bei je ubora wake na sifa zake ni zipi ? naombe msaada wakuu
Posts pale mbele ya Askari Kuna maduka ya simu. Au maduka ya kampuni za simu voda, airtel Ni bora zaidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom