Chumba cha kupanga kinahitajika haraka -LINDI

Mwaikibaki

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,993
3,684
Wadau,

Nina shida ya chumba cha kupanga self maeneo ya lindi mjini, au mitwero.Pia ikipatikana room mbili za pamoja zikijitegemea kwa umeme na choo nitashukuru.

Mwenye nacho au taarifa zaidi nitumie PM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom