Kiwanja kinauzwa

GIPAMA

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,109
2,000
Ndugu wana JF....... Nina kiwanja kinauzwa. Kipo Bunda, kata ya Balili na mtaa wa Balili.
Kipo umbali wa 0.5KM toka barabara ya Mwanza Musoma mkono wa kulia ukiwa unatokea Mwanza kwenda Musoma. nguzo za umeme ya umeme ipo karibu na kiwanja.

SIFA YA KIWANJA.
-Kiwanja kina urefu wa miguu 55 na upana miguu 35

Kiwanja hiki kina MSINGI.

SIFA ZA MSINGI.
-Msingi una vyumba vitatu vya kulala na kimoja wapo ni self.

-kuna dinning, sitting room, choo cha umma, na stoo.

Kwa anaehitaji kwa aliyepo Bunda ama sehemu yeyote anicheck inbox tupeane mawasiliano, aje akione na tuzungumze bei.

BEI NI MILION 13., Mazungumzo yanaweza kufanyika.

"Nawatakia kristmass njema"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom