nitapata note 3 kwa bajeti hii ya 200k ?

John Cannor

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
1,464
1,824
Heri ya krismass

Baada ya simu yangu kupigwa na wahuni wakati tukila gambe mbili tatu nimeona hali imekuwa mbaya kupata tena simu kamaya aawali, nimeamua nitafute walau note 3 , je kama unayo na najua zitakuwa nyingi sana mtaani hasa kipindi hiki cha masikuukuu magumashi mengi, nicheki tumalize biz fasta ule vizuri gudtime mwaka mpya.

Itakuwa poa kama upo Mwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom