Natafuta SIMTANK used ya lita 3000

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
737
500
Habari,

Natafuta simtank iliotumika but nzima yenye ujazo wa lita3000.

Muuzaji awe maeneo ya Dar es Salaam.

Nicheki inbox (pm) tuongee biashara.

Asante
 

K.Msese

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
1,634
2,000
Nenda ofisi za KAMAKA wanauza kwa bei nzuri sana!

Ofisi zao zipo oppst na Azam TV, Mandla Rd next ya Kiwanda cha Nyati.

Au ofis nyingine yao ipo Nyerere Rd, opp na Airport!
 

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
737
500
Nenda ofisi za KAMAKA wanauza kwa bei nzuri sana!

Ofisi zao zipo oppst na Azam TV, Mandla Rd next ya Kiwanda cha Nyati.

Au ofis nyingine yao ipo Nyerere Rd, opp na Airport!
Unaweza nisaidia indicative prices zao kama hutojali na ni za brand gani
 

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,915
2,000
IMG_20161208_173458.jpg
mzigo huo hapo ina week tu haujatumika kabisa sababu za kuuza anahamia mwanza anataka mia nne yaan laki nne dukan lali tano na 70 mwenye huyo pichan haina udalali namba yake hii0655791199
 

Kibao

R I P
Nov 8, 2007
634
500
We tembea barabarani maeneo ya ubungo, kimara na mbezi utapata mara moja
 

Amalinze

JF-Expert Member
May 6, 2012
6,730
2,000
Kiboko ni Matank ambayo quality yake ni chini ukilinganisha na Simtank/Polytank.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom