specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,140
- 618
Habari wana JF.

Nyumba inapangishwa,ina vyumba viwili(kimoja ni self a kingine sio self) sebure iko poa,choo cha public kipo nje.,nyumba ipo kwenye fensi na pembeni kuna gorofa ndogo anakaa mwenye nyumba hana shida na yeye hana familia kubwa,mpangaji anatakiwa kuwa na familia ndogo pia asiwe mtu wa kurudi usiku saaana kila mara na asiwe mlevi au msumbufu,kodi ni 210,000@mwezi,kodi yakuanzia ni ya miezi sita+ela ya udalali 210,000.

° Nyumba ina mita/luku yake yakujitegemea,pia maji yapo 24/7 .

° Kuna eneo kubwa la parking,mazingira tulivu saaaana.

° Kutoka ilipo nyumba mpaka kituo cha mwendo kasi ni kwa bajaji moja tu na bajaji zinapatikana muda wote hadi usiku saa 6 nauli ni Tsh 500
° Usalama niwauhakika..Karibu sana ndugu zangu.

Napatikana kwa no. 0625 567 408Tekeleza taja bei mkuu

Napatikana kwa no. 0625 567 408Huyu si ndio alianzisha uzi WA kuuza vitu vya ndani anasafiri kwenda mkoani nimeona lile kabati LA TV yake na TV ambayo alisema haiuzi?hebu weka bei kamanda kiasi gani kwa mwezi na pia ina maji,ina vyumba vingapi vya kulala,gari ngapi zinapaki ndani ya fance na je ni nyumba ambayo IKO ndani ya shared gate yani ziko apartment nyingi au hiyo moja...mwisho ukipenda gusia kama kunakupozwa mtonyo WA kiudalali
Hapana mkuu,haipo barabarani....na haita athirika na bomoa bomoaHaiko kwenye bomoa bomoa area!
Mkuu acha usahaurifu,ilikuwa hivi....Kitanda bado kipo vipi kochi
Kochi nilishakujibu toka jana,kitanda bado kipoKitanda bado kipo vipi kochi
Kochi nilishakujibu toka jana,kitanda bado kipo
Mkuu kuna uzi wa hilo swala ufuatilie tafadharikitanda ni cha chuma au cha mbao???
Bila hayo yote utajenga kweli,ukishayaona hayo ndio unakuwa na nguvu ya kujenga yako mkuuMi 'nashangaaga' sana wapangishaji wengine, hivi ukishampangisha mtu nyumba kwann umpangie muda wa kurudi? Asichelewe kurudi usiku, inakuhusu nini? Mkataba ni kupanga nyumba yako au na ku control maisha yangu?
Bure kabisa
Bila hayo yote utajenga kweli,ukishayaona hayo ndio unakuwa na nguvu ya kujenga yako mkuu