Tunatengeneza Magril kwa bei nafuu

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
15,277
2,000
Watu humu ishskuwa ugonjwa yaan kutaja bei ni kama kutoa siri za kampuni
Yaani huwa inafika wakati huwa naona kama watoa matangazo ni madalali tu
Sehemu wanazotengeneza magrill zipo nyingi tu sasa kama haweki bei nitajihangaisha vipi kumtafuta wakati najua kuna sehemu yapo
 

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
913
500
Bei inategemea na materials pamoja na ua but kwa dilisha la futi 6 kwa 6 na ua kama hilo juu kwenye picha nililopost bei inaanzia laki moja na 30 hadi laki moja na 50
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom