Arsenalist1
Senior Member
- Jul 13, 2015
- 163
- 50
Hope mpo salama wakuu, naomba kuuliza hivi bei za printing machine ziko bei Gani? Nahitaji t shirt printing machine nianzishe ka biashara
Hata Mimi nahitaji mkuuSalaam..ipo 1 ya kutumika umeme.njoo uichek au nitext whatsaap nikutumie pics kesho.0689900000