jr.kiyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 785
- 4,847
Pagama( nyumba ambayo haijaisha)imefikia hkwenye hatua ya kuweka linta na lina vyumba vitatu vya kulala kimoja wapo ni master,sebule,sehemu ya kulia,jiko na stoo ipo maeneo ya Buyuni kituo kwa chikira ni mwendo wa dakika 5 kwa kutumia pikipiki,bei yake ni 20mil kwa maongezi zaidi piga namba 0628106640......