kiwanja kinauzwa metre 20*20 kipo metre 600 kutoka barabara kuu ya zMoshi Dar
vipo viwili
bei 5 mill kila kimoja
mawasiliano 0658825141
0621068486
email bonifacekcharles@gmail.com
Wakuu,
Naombeni msaada wa ukumbi gani mzuri wa harus utaotoshea watu 400,
nimejaribu Impala Mbezi, Promirose, Mbezigarden na Mirado zote zimejaa, harusi ni end of Feb.
Mnisaidie na number za...
Ndugu wana Jamvi,
Heri ya Mwaka mpya 2017.
Nimechimba kisima chenye urefu wa mita 80 na kufanikiwa kupata maji mengi tu. Tatizo nililo nalo ni kwamba maji haya yana chumvi nyingi sana kiasi kwamba...
Habari za mchana wakuu, naomba kuwajulisha kuwa nauza ufuta ninao mwingi sana ghalani kwa atakae hitaji njoo PM now nitakufikishia ulipo na kama upo nje ya Dar nitakutumia ulipo
Mm nipo Dar.
Note:Mzigo huu nimeshauza. Shukrani
Nauza MacBook, 13 inch screen, 2.26GHz Intel Core 2 Duo, Operating system ni macOS Sierra
Memory 2GB RAM(Inaweza kuongezwa mpaka 4 ama 8GB kwa kiasi kidogo...
kiwanja kinaunzwa mbweni mpiji block4 715sqm, kiwanja kipo mbele ya soko jipya linalojengwa kipo karibu na shule viwanja vya michezo, nisehemu nzuri.
Bei 40,000,000
mawasiliano
0654545750
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, Mimi ni mfanya biashara wa kusambaza mayai ya kuku wa kisasa.
Tuna uwezo wa kusambaza tray za mayai hadi 300/siku kwa bei nafuu ya shilingi za kitanzania tsh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.