Kwanini hakijapimwa? Na kama hakijapimwa kwanini unakiita kiwanja?kiko buswelu kahama, bei 3,000,000 ni squatter
Kwanini hakijapimwa? Na kama hakijapimwa kwanini unakiita kiwanja?
Kama hakijapimwa ulipaswa useme shamba!
Naitaji kukiona ila nijibu kwanza.
Poando maana nikasema kiwanja hakijapimwa na umeelewa, hizo aka zake hazipotez maana. eneo, shamba, ardhi, nk
Hizo ni mita au futi?size 22x42, umeme upo ndan ya mita 100
Mita kwa hatua za miguu? Ndio kipimo gani?mita kwa hatua za miguu