Simu ya Tecno j8 inauzwa

ulove

Senior Member
Jul 13, 2014
149
195
IPO katika hali nzuri, ina camera nzuri ya 13mp,simcard 2,16gb za internal memory,ram ya 2gb, bei ni 230,000/ haina tatizo lolote 0625625463
 
PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
350
500
Hiyo bei kubwa kwa hali ya sasa...... na simu imeshatumiwa bila kujua ilifanyia uhalifu au nini..
Kwa sababu kwa sasa simu za gharama zikiibiwa watu wanafuatilia TCRA wanai track then wanaipata na aliyenunua anakamatwa wizi na anaisaidia serikali kumpata mwizi.
 
ulove

Senior Member
Jul 13, 2014
149
195
Hiyo bei kubwa kwa hali ya sasa...... na simu imeshatumiwa bila kujua ilifanyia uhalifu au nini..
Kwa sababu kwa sasa simu za gharama zikiibiwa watu wanafuatilia TCRA wanai track then wanaipata na aliyenunua anakamatwa wizi na anaisaidia serikali kumpata mwizi.
Umeambiwa hii Simu ni ya wizi
 
Chuku boY

JF-Expert Member
Mar 1, 2014
899
500
Kuna jamaa almuuzia rafiki yangu laki 2 mpya kabisa mi nikaogopa kununua mana najua zile ni 250k
Boom J8, imetumika wiki mbili tu boss, mi nna shida binafsi naiuza 280,000/= , Top 260,000/= haina uharibifu wala mchubuko..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom