Hatujakuelewa una maana gani unaposema kina vocha?Ndio
Ndio vmepinwa sio kweli kwamva analipa 6.9 vimepimwa mwaka 2015Kina Vocha halafu unauza 9.5m?? Kwahiyo mtu akikupa 9.5m anaenda tena kulipa 6.9m (1sqm =10,000/=)? Mkokozi Lugwadu kuna viwanja vilivyopimwa pale? Vimepimwa lini? Na wizara au Halmashauri?
Kwahiyo Mtu akilipa 9.5m anakabidhiwa kiwanja na Hati yake?Ndio vmepinwa sio kweli kwamva analipa 6.9 vimepimwa mwaka 2015View attachment 456206
Kwani kiwanja hakijalipiwa? Kwanini nipewe vocha? Unajua maana ya vocha? Kwa kifupi Vocha unapewa kwenda kulipia kiwanja,ukishalipa vocha inakuwa expired sasa hivyo viwanja vimepimwa 2015 mpaka Leo unasema unapewa vocha kwani hakina Hati?Utapewa hiyo vocha unakipia TRA 350,000 ili upewe hati ya jina lako kbs.
Ulivyolipia mwanzo haukupewa Hati? TRA nalipia 350,000 gharama ya kubadili title (umiliki)?Vocha unapewa ambayo ina plot no block no tayari kwa kwenda kusajili jina lako upewe hati.
Mkuu usiongee kitu usichokijua.Nina wasiwasi huyo ni afisa ardhi au ana jamaa yake afisa ardhi,wana mchezo wa kuficha hizo anazoita vocha na baadae kuuza hivyo viwanja kwa bei ya juu nililiona hilo wakati ule wa mradi wa viwanja 20,000
Jibu basi hili swali la Amalinze kabla wengine hatujafanya uamuzi wa kununua:Mkuu usiongee kitu usichokijua.
Kwani kiwanja hakijalipiwa? Kwanini nipewe vocha? Unajua maana ya vocha? Kwa kifupi Vocha unapewa kwenda kulipia kiwanja,ukishalipa vocha inakuwa expired sasa hivyo viwanja vimepimwa 2015 mpaka Leo unasema unapewa vocha kwani hakina Hati?
Kaka sidhani km unauelewa wowote na hii kitu ndio mana nmetoa plot no na block ukienda ardhi unapata maelezo yooote ya icho kiwanja na sio kwamba kiko kimoja vilikua vingi tumeuza tayari na wote tuliowauzia walipata hati zao mpk ss wanavyo naomba usikurupuke kaka yangu.Jibu basi hili swali la Amalinze kabla wengine hatujafanya uamuzi wa kununua:
Naamini pia huwezi nunua kitu kwa maelezo ni vizuri ujihakikishie kwamba icho ndicho utanunua utaenda kucheki utajihakikisha doc zote zipo ndo utanunua.Kaka sidhani km unauelewa wowote na hii kitu ndio mana nmetoa plot no na block ukienda ardhi unapata maelezo yooote ya icho kiwanja na sio kwamba kiko kimoja vilikua vingi tumeuza tayari na wote tuliowauzia walipata hati zao mpk ss wanavyo naomba usikurupuke kaka yangu.
Sijui nikuelezeje ili unielewe ila mnunuzi atanielewa ntakapo kutana nae na atotoa pesa mpk ajiridhishe na sio viwanja vyote vinavyopimwa ni vya serikali.... Na mi sipo ardhi wala sifanyi kazi ardhi....Sasa kama kiwanja haujapata umiliki kwa maana hakina title TRA wanaingiaje? Nijuavyo ukishalipia gharama za maombi na ukipatiwa hiyo vocha ndio unaenda kulipia unatayarishiwa letter of offer na hatimaye title na unapewa muda maalum wa kukamilisha hilo zoezi vingine atapewa mtu mwingine alipie,lakini maafisa ardhi ndio wakati mwingine huwa wanazishikiria hizo unazoita vocha na kuwaambia watu viwanja vimekwisha lakini ukipita mlango wa uani wanakufanyia udalali