kunalkunal951
Member
- Sep 17, 2016
- 89
- 12
Nauza simu ya Tecno j8 kwa 300,000 tu
Kwakeli nimetumia mwezi tuMkuu ni mpya au used?
Maana kwa bei hiyo unapata mpya dukani, nakushauri uwapunguzie bei.
Sasa mkuu ntapiga je picha akati simu hi ndonayotumiaBiashara bila picha?au ndio unanunua mbuzi kwenye gunia weka pics za kutosha ili ionekane iko ktk hali gan
Kwan unashindwa kuomba mtu upige pics za kutosha ujitumie afu upost hapa hebu jiongezee sio biashara ya nyanya hiiSasa mkuu ntapiga je picha akati simu hi ndonayotumia
Haya ntakupigia pichaKwan unashindwa kuomba mtu upige pics za kutosha ujitumie afu upost hapa hebu jiongezee sio biashara ya nyanya hii
Nauza cm ya tecno j8 kwa 30000 tu
Sasa ntauza kwa sh ngapi?Laki tatu huwez pata Mteja mkuu
Uza wewe kwa laki 2 me nimegairiMm nauza 200000
We una sh ngapiLaki tatu huwez pata Mteja mkuu