Kinyozi anahitajika

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,587
2,000
Ndiyo bwana we mwisho AJE APO ,huanze kumtoa Buku 5 kwa siku,we tangaza mshahara
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,716
2,000
Ndiyo bwana we mwisho AJE APO ,huanze kumtoa Buku 5 kwa siku,we tangaza mshahara
Katoa namba ya simu piga umuulizie.. vitu vingne Kama mshahara ni makubaliano yao ofisi zote hata wewe ukipata nafasi ya kuajiriwa mshahara utapangiwa Na bosi wako.hutamwona akitangaza mshahara wako
 

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,587
2,000
Mshahara MTU apangiwi Ila no makubaliano,we ina maana sinza yooooooote umekosa vinyozi mpaka uje humu,hawataki kwa kuwa malipo kidogo
 

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,139
1,500
Mshahara MTU apangiwi Ila no makubaliano,we ina maana sinza yooooooote umekosa vinyozi mpaka uje humu,hawataki kwa kuwa malipo kidogo
Ukiwa mjinga kama wewe sikuzote ni shida kwa jamii,hakuna atakae kulipa mshahara kwa kunyoa kwa sasa hivi,MTZ ataenda salon jioni atakupa elfu 5 halafu mwisho wa mwezi anataka laki 6,bado una mawazo ya kimbuzi kutegemea mshahara mwisho wa mwezi,utapangiwa hela kila wiki kwa kiti huwezi sepa,hata Rais Magufuli namshauri watu walipwe kwa masaa na kutokana na outputs zao
 

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,587
2,000
Mkuuu hapo umeongea point tupu, nilikuwa nakupima thinking capacity Yako ikoje,ngoja nikamwambie mshikaji wangu pande Hilo kama hujapata MTU bado
 

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,587
2,000
Tanzania don't need me,couse my thinking capacity is low,tanzania need some one like you,couse your thinking capacity is hi
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,716
2,000
Okay nimekuelewa Ila Bado mtoa post anaweza kutupa details muhimu kweli aweke wazi
 

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
2,587
2,000
Sure we kama kazi Yako unataka umlipe mtu5000 kwa siku hujui Anatoka wapi,nauli,matibabu,likizo ,we sema unatafut MTU WA kumnyonya tu siyo kazi hiyo
 

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,139
1,500
Sure we kama kazi Yako unataka umlipe mtu5000 kwa siku hujui Anatoka wapi,nauli,matibabu,likizo ,we sema unatafut MTU WA kumnyonya tu siyo kazi hiyo
Namlipa mimi au anajilipa yeye?wanaomba kazi wakiwa mikoani nani huwa anawapa nauli wanapokuja dar kwenye interview na wanapoanza kazi nani huwapa nauli ya mwezi mzima kabla ya mwisho wa mwezi?usiongee tu au usiandike vitu eti kwa sababu unapumua,kama mbuzi vile?
 

cheguevara

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,139
1,500
Habarini wadau,naleta mrejesho kinyozi nilimpata lakini chamoto nilikiona kwani kakimbia na hela na madeni ya chakula na kakopakopa kwa watu sana baada ya kunyoa wiki mbili kaacha kibegi cha mgongoni kuna vitu vya ajabuajabu atakaemuona anijulishe ntamalizana nae mwenyewe,najua ntampata tu,ila kwa ustarabu tu aniletee hela yangu aendelee na yake
 

Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom