2005 Toyota Porte for sale

2005 Toyota Porte for sale

ASHA NGEDELE

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
784
Reaction score
327
For Sale

Year of make: 2005
Mileage: 27,000 km
Engine: 1300cc, VVTi
Keyless entry
Power door
Alloy wheels
Spacious interior

Price: 9.0m (Negotiable)
 
Attachments

  • 1415561594151.jpg
    1415561594151.jpg
    42.2 KB · Views: 844
  • 1415561612651.jpg
    1415561612651.jpg
    40.6 KB · Views: 758
  • 1415561631215.jpg
    1415561631215.jpg
    47 KB · Views: 716
  • 1415561647686.jpg
    1415561647686.jpg
    45.8 KB · Views: 724
Hiyo Gari kimeo kwa wanaokaa mabondeni kama mimi, zaidi ni kuwa taa zake zikishapigwa na jua na maji ya mvua kidogo tu zinapauka balaa yaani ni tabu. Halafu ukiinunua hii hata ukitaka kuja kuiuza hupati wateja. USHAURI ukitaka kununua gari tafuta SALOON CAR TOYOTA BRAND (COROLLA, CARINA) engine isizidi 1500cc ndo utaenjoy
 
Unataka watu wazipende gari zile ambazo ww una mapenzi nazo, acha kukatisha tamaa biashara za wenzako, km huna uwezo wa kununua just pita tu na 50 zako si lazima useme neno
 
Hiyo Gari kimeo kwa wanaokaa mabondeni kama mimi, zaidi ni kuwa taa zake zikishapigwa na jua na maji ya mvua kidogo tu zinapauka balaa yaani ni tabu. Halafu ukiinunua hii hata ukitaka kuja kuiuza hupati wateja. USHAURI ukitaka kununua gari tafuta SALOON CAR TOYOTA BRAND (COROLLA, CARINA) engine isizidi 1500cc ndo utaenjoy

Hujui usemalo,
kwa hii sio jamii ya Toyota Saloon?
 
Hiyo si gari ya kununua asilani.bora ujichnge utafute rav 4 au saloon car kama corolla carina.
 
Gari iko poa sana na iko comfortable sababu ina space ndani na mafuta inanusa tu
 
Niambie gari gani haipo comfortable? Eti space ndani, kwani unanunua gari kwa ajili ya kucheza mpira? Acheni hizo hii gari kwa Barabara za Tanzania haifai unless unataka kuwa unashinda gereji kila wiki

Acha roho mbaya wewe haaa? Inaonekana hata gari wewe huna unatapatapa tuu
 
Niambie gari gani
haipo comfortable? Eti space ndani, kwani unanunua gari kwa ajili ya
kucheza mpira? Acheni hizo hii gari kwa Barabara za Tanzania haifai
unless unataka kuwa unashinda gereji kila wiki

Jaribu landrover 109, Escudo, Nissan March old Model N.k
Space ni muhimu sana, unapaswa ubebe Mkaa, Tenga la kuku au hata majirani waomba lifti.
 
Hiyo Gari kimeo kwa wanaokaa mabondeni kama mimi, zaidi ni kuwa taa zake zikishapigwa na jua na maji ya mvua kidogo tu zinapauka balaa yaani ni tabu. Halafu ukiinunua hii hata ukitaka kuja kuiuza hupati wateja. USHAURI ukitaka kununua gari tafuta SALOON CAR TOYOTA BRAND (COROLLA, CARINA) engine isizidi 1500cc ndo utaenjoy

Kweli ndugu hizo ziko vizur sanaaaa
 
Hiyo Gari kimeo kwa wanaokaa mabondeni kama mimi, zaidi ni kuwa taa zake zikishapigwa na jua na maji ya mvua kidogo tu zinapauka balaa yaani ni tabu. Halafu ukiinunua hii hata ukitaka kuja kuiuza hupati wateja. USHAURI ukitaka kununua gari tafuta SALOON CAR TOYOTA BRAND (COROLLA, CARINA) engine isizidi 1500cc ndo utaenjoy

Umenena mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom