Rosemarym Mwakitwange
Member
- Sep 10, 2016
- 63
- 170
Acha unoko wewe maxence hataki tuishi Kama mashetani, karibu na wewe Kama unalo lako naamini hataku mind, taarifa Za namna hii ni Neema Kwa members. Naomba nisikose fadhila nikushukuru Kwa Kwa kusikia sauti Yako na nikutakie heri ya mafanikio Kwa mwaka Huu wa fedha. Mungu akuzidishe. Naomba niletee wanafunzi hautajuta!kumbuka kulipia tangazo lako Rosemarym Mwakitwange