Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu Salama, Nipo Dar es Salaam nauza samaki aina ya kambale (catfish) kwa mauzo ya jumla kuanzia nusu tani (500kg) kwa order. Kila kilo ni sh. 6,000. Available are fresh Not frozen / dried...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Residential plot size 800 sqm in an upmarket and extensively developed area of Block `F`, Tegeta. Corner plot, fully serviced with water and electric power utilities, duly accessible, and has a...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Tunauza na kusambaza mchele maeneo tofauti ta jiji la dar es salaam, Bei=upo wa shilingi1600 na 1900/= Tunauza kuanzia kilo 10 na kuendelea, Kumbuka mchele unakufikia hadi mahali ulipo Karibuni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wahi sasa, kwa Tsh 100000 tu. Kwa mawasiliano njoo inbox tupange
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Samsung J2 Gold inauzwa bei laki 230,000/= contact : 0762228220
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Nyumba inavyumba 5,ipo maeneo ya kibaoni
0 Reactions
5 Replies
754 Views
Toyota Noah, mpya Kabisa. Cheki na 0765995774
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naulizia haya mafuta kwa maeneo ya Temeke na mbagala ni wapi ntayapata?
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Hivi wale wakaguzi wa elimu waliokua wanakuja Darasani wakati ule tulipokua Shule za msingi na secondary hivi Bado wanaenda wakati huu? Maana tulikua tunaulizwa kama walimu wameingia Darasani na...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Karibu upate ujuzi mpya Kabisa kwa 50000tuwasiliane kwa namba 0718252251
2 Reactions
13 Replies
1K Views
alie temekee anicheki king'amuzi dish limecheza kinaitaji kukazwa na kuseti signal zikae sawa.
0 Reactions
2 Replies
664 Views
Waheshimiwa nawasalimu kwa jina la Yesu Kristo wa Nazarethi.. Kama Heading inavyosoma nanunua vifaa vya kupikia chips kwa mtu ambaye alikuwa anafanya biashara hiyo alafu akaamua kuacha njoo pm...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wengi (wanawake na wanaume) wamekuwa wakitumia vipodozi visivyo salama na vile visivyoendana na ngozi zao na hata mahitaji yao. Wengi niliofanikiwa kuongea nao na kuwahudumia wameniambia...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ninauza kwa ujumla suit Jackets, hata unaweza kununua 200 suit jackets. Pia tuna nguo za watoto, wedding dresses, viatu, vitabu vya watoto, academic books, and novels. Bei nzuri. Unaweza ukanipa...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema ni modem ya voda zte inauzw elfu 15 pia bei inapungua Ni PM AU nitumie SMS 0683979118 NIPO DOM
1 Reactions
4 Replies
762 Views
Habari wanajamii. Naomba msaada wenu wakuu kuhusu aina ya gari la kununua kwa mtu ambaye bajeti ya mafuta kwa mwezi ni Sh 200,000. naishi Kivule ambapo barabara ni ya mashimo na nafanya Posta...
0 Reactions
68 Replies
25K Views
Back
Top Bottom