Kama kuna blogger yeyote anayehusiana na mambo ya mziki atakayesoma thread hii
Au kama kuna yeyote anajuana na blogger Naomba tuwasiliane ,
Mimi ni msanii ndio kwanza nimeanza kazi nina nyimbo...
Habari za midaa hii wadau!
Nauza mchele wa mbeya napatikana Kimara Dar es salaam.
Bei.
Grade 1= tshs 2000/kg
Grade 2=tshs 1900/kg
Ukichuku kuanzia tani moja free delivery kwa dar es salaam tu...
If your looking for a clearing and forwarding company with below criteria.
1.Clean records with TRA.
2.Have a Valid TRA license and Trading license.
3.Valid regitration with TFAA
4.Valid...
hello members,
nahitaji watu wakufanya nao biashara na mtaji wake hauzidi 30,000 atachukua bidhaa kwangu kwa jumla na kuuza ni biashara ndogo ila inafaida nzuri namba ya biashara ina whats up 0719...
Nahitaji GODOWN liwe located popote pembezoni mwa Mandela Road mpaka Mwenge Dar es salaam kwa ajili ya kununua. ukubwa SQM 1,500.
mawasiliano 0755 092 734 na 0716515995
Karibuni wapendwa wateja katika kampuni yetu ya kusambaza chakula ukitakacho mpaka ofisini kwako. Bei zetu ni nafuu sana na zinaendana na hali ya maisha ya sasa. Pia tunahudumia ofisi mbalimbali...
Hbr zenu wakuu..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nauza viwanja viwili maeneo ya salasala kwa babu,kutokea tegeta kwa ndevu ni dk 5 au unaweza kupitia mbuyuni pia ni dk 5 unafika...Kiwanja...
Habar Wakuu
Mayai ya kuku wa Kisasa Yanapatikana kwa bei 7000/= site ( Site yetu ipo KITUNDA) ni mpya na mzigo tunazalisha Wenyewe but kwa wale wa maeneo ya Mbez beach maeneo ya karib...
Plot size sqm 700
Ipo ndani ya fensi
Vyumba vi nne vyote master
Electronic fense
Electronic gate
Full perving.
Kitchen nzuri ya kisasa
All basic needs available
Nusu kilometer kutoka
Main road ya...
Habari!
Nahitaji laptop yenye sifa hizi:
Ram >3gb
HDD >320gb
Processor i3
Inakaa na chaji..
Isiwe used kwa mda Mrefu..
Bajeti yangu ni 300k..
If interested, Karibu PM
Pata HIK vision CCTV camera system yenye camera 4 kwa Tsh 760,000/- kutoka I Secure Technology. 0758728258, www.isecure.co.tz
Huduma nyingine ni
-electric fence
-intruder alarms
-fire alarm...
BITCOINS ni pesa ya kidigital isiyoshikika, hii pesa ni bora kuliko pesa zote duniani, inatumika na inazidi kutumika sana kwenye nchi za ulaya kuliko afrika, lakini kwasasa inazidi kushika kasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.