Natafuta matairi used ya boxer na rim zake

Ushauri, watanzania wengi hatuna utamaduni wa kubadilisha kitu, wengi wetu husubiri hadi itokee kimeahindwa kifanya kazi. Sasa hiyo used unayotafuta isije ikakuletea madhara kulingana na unyeti wa kitu chenyewe(matairi&rim). Nenda dukani tu kanunue mpya kwa manufaa/usalama zaidi rafiki. Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom