Viwanja vinauzwa salasala

Mdadamwema.

Senior Member
Aug 7, 2014
156
172
Hbr zenu wakuu..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nauza viwanja viwili maeneo ya salasala kwa babu,kutokea tegeta kwa ndevu ni dk 5 au unaweza kupitia mbuyuni pia ni dk 5 unafika...Kiwanja kimoja kina ukubwa wa mita 20*20 kinauzwa million 15 na kingine kina ukubwa wa mita 38*20 Kinauzwa million 27.Huduma zote za jamii zipo.Kwa anayehitaji anaweza kuni PIN kwa mawasiliano zaidi.
Kwa walio seious tu lakini.Karibuni wakuu.
 
Mkuu sijaweka namba yngu ya simu hapa najaribu kuepusha usumbufu, ndo maana nikasema aliye serious ani PIN kwa mawasiliano zaidi.
 
ku PIN ndio kufanya nini?
Kwani hujaelewa, > Wafanya hivi, na wewe weka pass zako za form 5/6/univeristy tuone kama hukukosea ie hukupata below standard katika angalau mjo ya somo! Naona umemshupalia!
 
jamaa anataka wamPIN
mtakali hayo hayo tu,watu wenye pesa zao sijaona kama wamejali hayo makosa madogo madogo zaidi ya kuwasiliana na mimi, kweli nimeamini kuna tofauti kubwa ya kufikiri kati ya mwenye nacho na asiye nacho.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom