Tenda ya Fumigation

Tenda ya Fumigation: tunatafuta kampuni ya fumigation kama Subcontractor. Tuma email: searsindar@gmail.com na introduction. Sisi kampuni ya usafi.
Habari? Nina kampuni ya Fumigation inaitwa Trust fumigation services ipo Dar es Salaam na Nina wafanyakazi wazoefu wametoka katika makampuni kama rentokill na pest guard Tanzania
Kama wahitahi masuala yeyote yanayohusu fumigation,hygiene and services provider njoo Trust Fumigation Services.

Edward Chapa
+255 717 246 284
 
NOTED AHSANTE SANA
 
Ronns Pests Cotrol Co. Jina lake ni Nandoya. Huyu ni msomi anawajua wadudu na aina ya dawa za kuwaua, ni Nguli ukanda wa Mikocheni,Tegeta na Mbweni. Mpe interview hakika atakufaa hata kwa ushauri. 0754496560
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom