Hilda catering services in the office

Jan 3, 2017
5
1
Karibuni wapendwa wateja katika kampuni yetu ya kusambaza chakula ukitakacho mpaka ofisini kwako. Bei zetu ni nafuu sana na zinaendana na hali ya maisha ya sasa. Pia tunahudumia ofisi mbalimbali kwa order maalum. Kama kutakuwa na uhitaji ni pm ili nikupe utaratibu..

Mteja kwetu ni mfalme....pia tunatengeneza special order kwajili ya vegetarian na special case. .....
KARIBUNI SANA
 
weka tangazo lako vizur mna vyakula gani na bei gani? Mpo wapi? Nani anagharamia usafiri? Hebu tulia urudi hapa ukiwa full
 
Back
Top Bottom