Mayai ya Kisasa Yanapatikana

Phack

Member
Jul 28, 2015
87
10
Habar Wakuu
Mayai ya kuku wa Kisasa Yanapatikana kwa bei 7000/= site ( Site yetu ipo KITUNDA) ni mpya na mzigo tunazalisha Wenyewe but kwa wale wa maeneo ya Mbez beach maeneo ya karib Yanapatikana Bonden 7500/=.
Hizi bei zetu n fixed 7babu Chakula cha kuku kimepanda sana that's bei nazo zikapanda.
 
Back
Top Bottom