Maombi kwa mablogger na wana jf wenzangu

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,816
Kama kuna blogger yeyote anayehusiana na mambo ya mziki atakayesoma thread hii
Au kama kuna yeyote anajuana na blogger Naomba tuwasiliane ,
Mimi ni msanii ndio kwanza nimeanza kazi nina nyimbo zangu nataka aniwekee kwenye blog

Kama ata wewe mwana JF mwenzangu ukitaka kusikia moja ya kazi zangu naweka namba hapo chini unitext whatsapp Nakutumia then ulete mrejesho humu kwenye uzi JF

Namba zangu.: 0676245145

Nina imani mahombi yangu yatafanikiwa.

0676245145

Zero Iq.
 
Brother kwanini usijitangaze wewe kama wewe?
Ulishawahi kua na wazo lakufungua website yako. Ukaweka picha na maelezo na kazi zako?

Ukaweka na mawasiliano, sanasana Instagram na facebook?

Kuna njia nzuri inaitwa Facebook PPC ya kujitangaza, mimi ni mtaalamu wa hiyo kazi,

Utanilipa sh 200 kwa kila atakaeingia kwenye website yako,

Ukitaka tuta arrange unilipe kwa kila atakae download mziki wako.

Sasa, cha muhimu ni kupata a fan base,

Kuwa na akaunti yako ya insta, tumia hiyo kuapata fans wa ukweli sio wa kununua.

Uwe active kwenye mtandao, post picha useme story yako... Maisha yako... Kila siku utume picha tano.

Wakati huo huo tunatangaza akaunti n kazi zako.

Hapo utapata watu,

Pia, ushauri wa bure:
Ukitaka kua featured kwenye blogs za watu , Ingia blog zao. zipo nyingi kama dj choka, etc Alafu chukua namba zao za simu zipo kwenye blogs zao then Uwapigie. Au umetafute Instagram

Sisi tunaitwa FundiRabbit
Tunapatikana instagram kama
@fundirabbit_design_lab
 
Huyu jamaa anataka ma blogger walio active sasa nashangaa wengine kumpa ushauri sijui afungue account and all that.
Inaonekana jamaa amefocus kuweza kutangaza Kazi zake kwa haraka hivyo njia alioiona ya haraka ni kwa kupitia blogs maarufu. Nilitegemea majibu hapa yangekuwa either kwa hao kwenye blogs kujitokeza na kuwasiliana naye au kumuelekeza wapi anaweza kupata huduma hii
 
Huyu jamaa anataka ma blogger walio active sasa nashangaa wengine kumpa ushauri sijui afungue account and all that.
Inaonekana jamaa amefocus kuweza kutangaza Kazi zake kwa haraka hivyo njia alioiona ya haraka ni kwa kupitia blogs maarufu. Nilitegemea majibu hapa yangekuwa either kwa hao kwenye blogs kujitokeza na kuwasiliana naye au kumuelekeza wapi anaweza kupata huduma hii
Kweli
 
Naona mnapuuzia sana hii njia ya Facebook PPC.

Unaonaje nikikuambia
*unaweza ku target watu wanaopenda nyimbo za Hiphop tu?
*Unaweza ku target washabiki wa mkoa flani tu
*Unaweza ku target ma promota wa muziki tu
*unaweza ku target wasanii tu.

Blogs ,Redio, TV zinapitwa na wakati karibuni kwenye dunia ya mtandao
 
Zero IQ, nimeshindwa kuidownload kazi yako huku jamii forum.
Kama hutojali nitumie kwa WhatsApp 0655138686
Ahsante
 
Back
Top Bottom