Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wandugu. Hali ngumu. Nauza kitanda mninga, jiko la gas, madiaba ya maji, godoro, meza kubwa, kiti cha mninga, stuli, mashuka baadhi na mapazia vyote kwa laki 2. Vitu vipo mbezi beach. Namba...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu heshima zenu. Kama thread inavyosema, nyumba ina sifa zifuatazo -Vyumba vitatu, kimoja master -Dinning, sitting room -Jiko na choo cha jumuia -Choo cha nje -Ina sifa zingine, isipokuwa...
2 Reactions
84 Replies
6K Views
Ni kweli kabisa, hakuna tajiri hata mmoja ambaye hajawahi kabisa hata siku moja, kupoteza pesa yake. Vilevile ni kweli kabisa, wapo maskini wengi tu, ambao hupoteza pesa zao kila siku bila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
@liquidmicrofinanceltd: "Karibuni liquid microfinance tunatoa mikopo ya aina mbalimbali na kwa riba nafuu ili kukuwezesha wewe mtanzania mwenye kipato cha chini kufika malengo yako. "Unapata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Brandnew iPhone 6 plus for sale Original and Full Boxed with all accessories Gold in color Price......960,000 16GB Internal storage. Call 0784780955 or whatsap +86 15005284617
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wako... Nauza laptop tajwa hapo Juu.... Ram 2gb Processor core i3 HDD 250gb Inakaa Na charge 3hrs Haina tatizo lolote... Kama una hitaji ni PM au piga 0752647796. Bei Tsh. 400,000/=...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mambo VP wakuu? Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji gari hiyo iliyotajwa hapo juu mwenye kuwa nayo alete picha then maelewano pm
0 Reactions
2 Replies
709 Views
Kampuni ya CPM Business Consultants imeanzisha mafunzo ya ujasiriamali kwa vitendo ili kuwanua vijana na watu wote wanaotaka kuwa wajasiriamali wakubwa kwa kuwawezeesha kuanzisha na kukuza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anza mwaka 2017 ukiwa na website ambayo inamuonekano mzuri katika vifaa vyote kama PC, laptop, ipad, iphone, tablets etc(responsive website). Natengeneza website kwa bei nafuu hii ni maalum kwa...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
kama title inavyosema mwenye hilo gari unaweza kunipm tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ukitaka kufungiwa drip popote pale ulipo kwa bei nafuu na maelekezo ya kilimo Namba ni .0784735133.
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Husika na kichwa cha habari ukiitaji kuwepo kwa party hii karibu kuna pesa ndogo ya kuchangia ili kuweza kuukaribisha mwaka vema na party yetu iwe nzuri ukihitaji njoo whatsapp 0653749174 au...
0 Reactions
3 Replies
678 Views
Wakuu bajeti yangu ni laki na nusu,natafuta kafriji kadogo ,kawe kazima na kako vizuri,napatikana mbezi kwa musuguli.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Fursa fursa.. Karibu ujifunze kushona mikoba ya culture iliyopo kwenye fashion, mikoba ya kisasa kabisa na imara ñ, gharama yake ni 10 tu hadi unaelewa. Nitafute kwa 0755661541. Ni moja ya njia...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Looking for a perfect well crafted customer suit's for your wedding????? or of An Event??? Worry not!!!!!! 2017 is almost here, At #geofreyjonathan -Bespoke Fashion Brand, we're now receiving...
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Nahitaji kitanda haraka 5×6 bajeti yangu ni lakimoja. kama unacho ni pm
0 Reactions
5 Replies
820 Views
Members naomba mnisaidie website gani ambayo naweza kununua simu {smartphone} kwa uhakika,haraka na kwa ghalama ya kawaida xana
0 Reactions
10 Replies
959 Views
Ni mafundi wa zuri wa skiming pamoja na rangi aina mbalimbali tunafanya desing mbalimbali za rangi na deccoration kwa mazungumzo zaidi wasiliana nami kwa namba hii 0718884670
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Back
Top Bottom