Kiwanja kinauzwa kipo bunju dar es salaam karibu na posto bella
Ukubwa ni sqm 600
Kiwanja hiki ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba ya makazi
Being mil 35
Kwa mawasiliano zaidi piga simu au...
Wanajamii kama kuna mtu wa Dar Es Salaam mwenye Pub au min Bar yenye jiko ambaye ameshindwa kuiendesha kwa sababu mbali mbali na anahitaji kuikodisha/kuipangisha ikiwa na vitendea kazi vyote kama...
VALENTINES DAY TSHIRTS AVAILABLE BONYEZA LINK HIYO KUCHAGUA UNAYOPENDA
Tishirt kwaajili ya siku ya wapendanao 1 karibu uweke order yako mapemaaaa!!!!sh 15000 moja mbili kwa 30000 pia kwa wanaotaka...
Eneo kubwa la hekari moja linauzwa lipo mabwe pande kilometa 5 kutoka bunju b stendi umeme unapatikana pamoja na maji
Serious buyers 0657227370 tuma sms whatsapp au call me..
Habarini wadau wa biashara ni gari ambayo iko vizuri na inafanya kazi inauzwa million 16 maongezi yapo haipitii kwa dalali mimi ndio mwenye gari sababu nataka kubadili biashara nyingine namba...
Wahi mapema eneo kuuubwaaaaa bei kama unanunua pipi.. Eneo lipo karibu na huduma zote za jamii kama
Shule
Zahanati
Barabara
Maji
Umeme n.k
Eneo linapatikana Mabwe pande bei ni sh milion 15 lina...
Nauza line za Tigopesa na M-pesa (till) kwa shilingi 130,000/= each.
Napatikana Mbeya lakin kwa walio iringa na songea zitafikishwa hapo hapo. Tuwasiliane 0762236420
Asanteni.
Kama kuna blogger yeyote anayehusiana na mambo ya mziki atakayesoma thread hii
Au kama kuna yeyote anajuana na blogger Naomba tuwasiliane ,
Mimi ni msanii ndio kwanza nimeanza kazi nina nyimbo...
Habari za midaa hii wadau!
Nauza mchele wa mbeya napatikana Kimara Dar es salaam.
Bei.
Grade 1= tshs 2000/kg
Grade 2=tshs 1900/kg
Ukichuku kuanzia tani moja free delivery kwa dar es salaam tu...
If your looking for a clearing and forwarding company with below criteria.
1.Clean records with TRA.
2.Have a Valid TRA license and Trading license.
3.Valid regitration with TFAA
4.Valid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.