Je wewe ni mpenda shopping?
je wewe una bidhaa unataka kuuza?
Kuna application nzuri sana ya android kwa ajili yako inayoenda kwa jina la shop255
Shop255 - Android Apps on Google Play
Download...
Mwenye gari aina ya toyota kluger au Toyota harrier namba yoyote ilimradi gari iwe katika hali nzuri,bajeti yangu ni 9m,nipo nzega,ila hata km iko dar naweza kufika tu na kuicheki.
Habari wakuu,nauza amplifire na equilizer ya gari,ni original kabisa, sababu ya kuuza nimeuza gari yang nikatoa mziki sababu mnunuzi alishindwa kufika bei ikabid nipunguze baadhi ya vitu...
Habari zenu wadau, mimi nipo Tanga mjini natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 au 4, naomba Msaada wenu wadau wa JF kama Kuna mtu anaweza kujua, Natanguliza shukrani.
Fungus sehem za siri, U.T.I sugu, kuwashwa sehem za siri,kutoa harufu mbaya nk
Hii ni Femicare, haina madhara na imesinitishwa na TFDA
Inapatikana kwa Tsh 35000/= tu
Nicheki 0714547830
NOVAGE ndio suluhisho lako!
Jipatie seti yako nzima ya NOVAGE uepukane na matatizo ya ngozi yako!
Itakusaidia kuondoa makynyanzi usoni, kuondoa chunusi na madoa, mikunjo ya aina yoyote usoni na...
Je? Wewe n blogger na umetafuta adsense account kwa mda mrefu, sasa jipatie Active ADSENSE account inauzwa pamoja na blog yake. Kwa bei pouwa. Kwa mawasiliano zaid 0714447552.
Blog hii hapa...
Ipo kigamboni kisiwani
Metre 100 kutoka barabara ya lami.
Inavyumba vitatu vya kulala, na masterbedroom Jiko,sitting room,na dinning.
Km 4 kutoka ferry na km 2 kutoka darajani
Ukubwa wa eneo...
Nyumba inauzwa ipo tegeta kwa ndevu barabarani
kiwanja kinaukubwa wa futi 61 kwa futi 35
Nyumba inafaa kwa matumizi ya biaahara
Being mil 350
ipo karibu na GdB house and social centre...
Heshima kwenu wakuu
Ninaomba msaada ninacreate PayPal account sasa nimekuwa napata tabu sana na hii zip code sielewi nijaze nini hapo kwenye zip code na kingine ni hizo state zinakuja suggestion...
Kampuni yetu inataka muuzaji anayeuza VIOO kwa bei ya jumla na tutafurahi kama tutapata maelekezo madogo kutoka kwake, tuko tayar kufanya kazi na huyo mtu,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.