Nahitaji Laptop

binti mkupasi

Member
Jan 9, 2016
25
16
Habari!

Nahitaji laptop yenye sifa hizi:

Ram >3gb
HDD >320gb
Processor i3
Inakaa na chaji..

Isiwe used kwa mda Mrefu..
Bajeti yangu ni 300k..

If interested, Karibu PM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom