BON255
Member
- Apr 6, 2015
- 73
- 17
BITCOINS ni pesa ya kidigital isiyoshikika, hii pesa ni bora kuliko pesa zote duniani, inatumika na inazidi kutumika sana kwenye nchi za ulaya kuliko afrika, lakini kwasasa inazidi kushika kasi pia katika nchi nyingi za afrika ikiwemo Tanzania. Ili uweze kuipata hii pesa unatakiwa kufungua account (wallet) online, kuna aina nyingi za wallet unazoweza kufungua, wallet zinazotumika sana ni LOCALBITCOIN (LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins), BLOCKCHAIN (www.blockchain.info) na nyingine nyingi, Kuna njia nyingi zinazoweza kukusaidia kupata/kuweka pesa hizo (bitcoins) kwenye wallet nilizoziorodhesha hapo juu,
Moja ya njia hizo ni kununua kwa baadhi ya mawakala waliopo Tanzania na nchi jirani kama Kenya na Uganda, baadhi ya mawakala hao ni LUCY (+255762045620), STUART (+255 758957433), DOREEN (+256 701432862) na DOOMMASTER (+41793987851) mawakala hao wanaweza kukuuzia hizo bitcoins kupitia M-pesa na Tigo pesa,
Njia nyingine ni kuchangiana ninyi kwa ninyi (Donation) mfano wa vicoba, kwa mfano unaweza ukawapa wezako wawiwili 0.02Btc kila mmoja na wewe ukapokea kwa watu wengine zaidi ya wawili kiasi cha 0.02btc mfano wa njia hii ni BTC IVESTMENT
Njia nyingine yakupata BITCOINS ni kwa kusambaza links au ads zinazoitangaza bitcoins, hii njia ni nzuri sana kwa hawa blogers, maana utapata commission endapo mtu ata sign up kupiti link ambayo unausambaza, moja ya programe inayokuwezesha hivi ni BITCOINADSPAY (Homepage - bitcoinadspay.com)
Njia nyingine nzuri ambayo wa Tanzania wengi hawaijui nikufanya investment au kukopa kupitia njia mbalimbali, mfano wa program inayokuwezesha kukopa au kuinvest BTC ni BITBOND (www.bitbond.com/?a=3RBQ5C9HYY), Ili uweze kukopesha/kuinvest kupitia hii njia unatakiwa uwe na zaidi ya 0.05BTC. Uzuri wa hii BITBOND inafanya kazi zote mbili za kuhifadhi BTC na hiyo nyingine ya kukopa na kukopesha
Ukitaka kuwa mmoja wawanufaikaji wa BITCOINS basi anza kufungua account(wallet) kupitia hizo link nilizokupa then deposit pesa zako kupitia mawakala niliokuoorodheshea hapo juu na mwisho unaweza kuinvest na kuchangiana ninyi kwa ninyi kwa ajiri ya kukunza wallet yako, faida ya BITCOINS ni nyingi sana, kwa mfano unaweza ukanunua vitu online, unaweza kupata faida kwa kuziuza kwa watu wengine maana kila siku inavyokwenda thamani yake inazidi kuongezeka, USIILAUMU SERIKALI KWAKUTOAJIRI, JIRAUMU MWENYEWE KWAKUTOTUMIA FURSA ZINAZOJITOKEZA