Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

01. Ukubwa sqm 900 ina hati miliki. Bei tshs 45 mil. 02. Ukubwa sqm 1200 ina hati miliki. Bei tshs 65 mil. 03. Ukubwa sqm 2000 ina hati miliki. Bei tshs 100 mil. Kwa maelezo zaidi au kwenda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk.Kama unahitaji funguo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau , nahitaji Nguruwe majike mawili yenye mimba na dume moja . Naombeni na ushauri ili nianze kufuga
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jibu la matatizo lipo Bora Computer Solution. Tunatengeneza laptop na desktop aina zote, tunabadilisha Operating System(OS) kama vile Windows 7, 8, 10 na kwa mahitaji ya kubadilisha vioo vya...
0 Reactions
5 Replies
971 Views
Jipatie Samsung galaxy J5 mpya kabisa yenye kila kitu full boxed kwa bei chee kabisa 380k Mawasiliano : 0718274828 Wahi mapema
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ni nyumba ambayo haijakamilika IPO kilimahewa mwanza,Ipo pembeni mwa bara bara,ina offer bei million 30 .tuwasiliane kwa 0742159555
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa mwenye uhitaji wa kujifunza somo LA physics na mathematics Kwa olevel na advanced level....npo ubungo msewe nasoma udsm hapa..tunaweza saidiana mambo kadha wa kadha namba zangu .0743282756
2 Reactions
0 Replies
434 Views
Ukubwa eka 10 hazijapimwa zina karatasi za mauziano ya serikali ya mtaa. Umbali kutoka barabara kubwa ya Bagamoyo Road kwenda kwenye eneo ni kilometa 2. 5. Huduma ya umeme na maji zote zipo...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
jJITA VOCATIONAL TRAINING COLLEGE (JITA VTC) Tunawakaribisha vijana wote wenye mtazamo mbadala hasa baada ya kupata ufaulu/matokeo ambayo hayakuwaridhisha. Tusiwakatishe tamaa na wao hawana sababu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina milioni 4 nahitaji gari haswa na.C iliyoko kwenye hali nzuri. Au kama na.D naweza toa milioni 5. Nitumie picha na bei whats up tukikubaliana nije kukagua tayari kwa buashara. A au B liwe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kabila ni samsung. For 900000.. tutaelewana karibuni. Ni kubwa la milango miwili. Halina tatizo lolote lipo kama jipya. Mashine ya kufulia ni kilo 6 for 350000 0717622717 or 0776950000.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yako shambani. Bei maelewano,piga 0717221759 au 0686339972 kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Valentine day specials Mauno TV
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Wakuu wa nchi ninayo Landcruaser Prado TX diesel engine. Iko safi kabisa imeparking tu uani .Nilikuwa nahitaji hizi landcruaser hardtop kwa ajili ya kupeleka wageni wangu safari ndio maana...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kujua uimala wa GARI HIZI 3 VITZ SPACIO IST. N IPI GARI BORA NA NGUMU .binafsi nashindwa nichague ipi,mawazo yenu tafadhari
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nahitaji Baadhi ya Movie za 2016 kama 50.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF Naomba kufahamishwa sehemu ninayoweza pata mabox ya kubebea vifaranga vya kuku. Mabox hayo huwa yametobolewa ili kuruhusu hewa kuingia wakati vifaranga vinasafirishwa. Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
925 Views
Gari hii inauzwa 4mln ...Gari inapatikana tabata Gari haina tatizo lolote..... 0715591141 kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nyumba nzuri,mpya na ya kisasa ipo maeneo ya Mbagala chamazi.Imejengwa ktk ubora wa hali ya juu na ipo karibu na barabara na huduma nyengine za kijamii...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nina machungwa nahitaji kuyauza kenya, nicheki whatsap 0769685873
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…