House4Sale Nyumba Inauzwa kilimahewa Mwanza

Mwanza sales

Senior Member
Nov 17, 2015
193
87
Ni nyumba ambayo haijakamilika IPO kilimahewa mwanza,Ipo pembeni mwa bara bara,ina offer bei million 30 .tuwasiliane kwa 0742159555
 
Tangazo lako linatakiwa liwe hivi....taja mtaa nyumba ilipo, Sqm ngapi za kiwanja. Nyumba inakubwa gani...je kiwanja kimepimwa? Mwisho kabisa picha
 
weka picha acha ujinga unauza kitu hewa........huko kilimahewa........?
 
Kwanza ni kilimahewa ya wapi ndo mana nimekwambia hauko seriaz na iashara yako. Na watu kama ninyi mkikutatana na wajanja lazima wawalalie kwa bei za chin.
 
Kwanza ni kilimahewa ya wapi ndo mana nimekwambia hauko seriaz na iashara yako. Na watu kama ninyi mkikutatana na wajanja lazima wawalalie kwa bei za chin.
Picha nitaweka nipeni muda kidogo,ila ukitaka kufika unashukia Big bite,unaingia na hiyo njia ya vumbi kama unaenda sokoni kona ya mwisho mkono wa kulia kuna jengo kubwa la muundo wa gorofa la muda mrefu sana,hilo ndio jengo husika
 
Kumbe ni jengo. Mi nikajua nyumba
 
Dah father ivo viwanja hapo vimepimwa muaka mingi na vina hati vyote(jiran na mzee mmojaana bakery hapo) chako bado kina offer!!! Dalali mkubwa ww..
 
Dah father ivo viwanja hapo vimepimwa muaka mingi na vina hati vyote(jiran na mzee mmojaana bakery hapo) chako bado kina offer!!! Dalali mkubwa ww..
Pamepimwa ila hati haijawa processed.hapa kuna offer au unataka udanganywe
 
Picha hizi hapa nimewawekea

IMG_20170212_165519.jpg

IMG_20170212_165535.jpg
 
kwa jinsi navyoiona hiyo nyumba ilivyo karibu na hiyo nguzo sijui ni ya simu au ni ya umeme ,ni bora ukatoa full details kuhusu hiyo nyumba kama iko kwenye mpango wa mji au la ,ukubwa wa eneo at least tujiridhishe kabla ya kufika sehemu iliyopo hiyo nyumba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom