ENEO LINAUZWA LIPO MAPINGA JIRANI NA BUNJU B"

Sep 13, 2016
5
2
Ukubwa eka 10 hazijapimwa zina karatasi za mauziano ya serikali ya mtaa. Umbali kutoka barabara kubwa ya Bagamoyo Road kwenda kwenye eneo ni kilometa 2. 5. Huduma ya umeme na maji zote zipo jirani. Bei tshs million 350 maongezi yapo.

Kwa maelezo zaidi na mawasiliano piga no hii : 0759 510 593
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom