Nahitaji Nguruwe kwaajili ya kufuga.

tejateja

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,620
970
Wadau , nahitaji Nguruwe majike mawili yenye mimba na dume moja . Naombeni na ushauri ili nianze kufuga
 
Unapotoa Tangazo ni vyema ukaweka vitu vyote Muhimu...

Mahali Ulipo
Mawasiliano

Au tukuletee hapa hapa Jf?
 
aina gani ya nguruwe unataka,kuna large white (danish Yorkshire) Duroc au mixer ya landrace na Yorkshire au lamdrace na duroc
 

Attachments

  • IMG_20170205_113327.jpg
    IMG_20170205_113327.jpg
    133.7 KB · Views: 44
Back
Top Bottom