majangatz
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 107
- 91
Gari inauzwa ipo katika hali nzuri sana, imelipiwa vibali vyote na vitaisha July mwaka huu. Ina bima kubwa na haijawahi kupata ajali. Imefungwa alarm system na ina remote mbili, ina tairi la ziada, jerk na wheel spaner, triangle na mtungi wa kuzimia moto uliojazwa. Bei ni 6m inapungua kwa atakayeihitaji, namba za usajili ni T 326 CBH kwa mawasiliano nicheck 0713584226 tuyajenge.
.
.