Nyumba hii hapa kimara, ni vyumba viwili kimoja master, kodi laki 2Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Morogoro rd kuanzia Ubungo Maji mpaka Kimara Mwisho maeneo hayo.
Vyumba Viwili na sebule, pamoja na jiko. Chumba kimoja kikiwa ni master itakuwa vizuri zaidi. Bajeti yangu 150K
Mkuu hii nyumba bado ipo?ipo kimara ipi?Nyumba hii hapa kimara, ni vyumba viwili kimoja master, kodi laki 2View attachment 460385View attachment 460386View attachment 460387View attachment 460388View attachment 460389