Mashine ya kuzalishia chakula cha Pellet inauzwa.

makua

JF-Expert Member
Dec 9, 2013
208
39
Habari JF,
Hii mashine inauzwa, ni mashine ya kutengenezea chakula cha pellet (pellet machine)
Inauwezo wa kutoa pellet ngumu,na inazalisha Tani 1 kwa saa.

Bei ni Milioni 10

Ninapatikana Binju B,
Mawasiliano 0656646495
20161125_182311.jpeg
 
Back
Top Bottom