Angel Suzie
Member
- Dec 27, 2015
- 68
- 15
Tunatafuta CREATIVE Fundi Nguo, kushona magauni ya Red Carpet Events and magauni harusi na ngua za kazi, uniforms na ningine. Tunahitaji FUNDI nzuri sana na experience kama miaka 6 au 7. Naomba tuma SMS na jina yako kwenda 0626705350, andika FUNDI NGUO. Ahsanteni. Kazi njema.