EMII
Member
- Jul 11, 2016
- 69
- 34
Habari zenu wana JF,
Kuna laptops kutoka China nimeziona Alibaba jumla ya mzigo ninaohitaji ni US $ 336, uzito ni 4.9 Kgs.
Kwa mwenye uwelewa au uzoefu anisaidie kunifahamisha makadirio ya gharama ya bidhaa, usafiri, kodi hadi kunifikia mkononi.
Natanguliza shukrani