Unalima nini? Si kila herbicide inafaa kila za0Kama kuna dawa unaijua na jinsi ya kuitumia plse nifahamishe.
...tumia herbicides ( dawa za mnagugu )
Zinaitwaje mkuu!Unaagiza online China zinafika ila tatizo ni spea endapo zitaharibika
Kama hiyo?
Habari za kazi wakuu..
Nauliza kama kuna machine yeyote ndogo ambayo itanisaidia kufanya palizi shambani. Naona nguvu kazi imekuwa ndogo na kazi haziishi kwa wakati.
Kama kuna kifaa chohote kinaweza tatua hili swala naomba nifahamishwe.
Tahadhari Wa watu mnaoagiza mashine kutoka China hakikisha anaekununulia hyo mashine anauelewa mzr kwa sabab kuna jamaa ang amenunua hii mashine yaani hakifai kabsaa wadau
Kama hiyo?