Nauza screen ya laptop HP 2000

Bei gani na uko wapi Mkuu? kama sijasahau nin mashine kama hiyo ila imekufa taa za display kwenye motherboard
 
Yakwangu imeua feni tu hadi leo sijapata feni nimeamua niuze parts kama motherboard, screen, ram,
 
Niko Arusha andika sms kwenye simu tuta discuss bei ya screen na vinginevyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom