Hamna gari ambayo haihitaji kupumzika kwa safari ya mtwara mwanza. At least muda wa kula wasafiri ndio muda wa gari nalo kupumzika.Hivi IST inaweza kwenda Mtwara to Mwanza bila kupumzika njiani?
Inatembea moja kwa moja kama wewe hujaamua kupumzika.. ila automatically safari ya Dar to mwanza lazima utapumzika. Ist haichemshi.. nshawahi endesha IST dar to bukoba nlilala ushirombo.Hivi IST inaweza kwenda Mtwara to Mwanza bila kupumzika njiani?
Mwaka jana nilienda mwanze na na shinyanga kwa ist zen nikarud dar izo gari ni nzur sanaHivi IST inaweza kwenda Mtwara to Mwanza bila kupumzika njiani?
Sikweli mkuu, VX, V8, Rangerover yanauwezo wa kufika bila kupumzika, unakula bites na soda huku unakanyaga gia. Nataka kujua kama ist inaweza au itanilipukia njianiHamna gari ambayo haihitaji kupumzika kwa safari ya mtwara mwanza. At least muda wa kula wasafiri ndio muda wa gari nalo kupumzika.
IST achana nayo, ni gari ya kazi haswa.Hivi IST inaweza kwenda Mtwara to Mwanza bila kupumzika njiani?
Okay ahsante mkuu, vipi kwenye rough road inapeta au inategemea?IST achana nayo, ni gari ya kazi haswa.
IST ukiiangalia tu unaijua ni off road, haina haja ya kuuliza.Okay ahsante mkuu, vipi kwenye rough road inapeta au inategemea?
Hpn kaka kama gari ulikuwa unaitunzwa ka servic nzur unaenda hata congo ila cha kuzingatua ni servic tu ist ni gari nzur sana tena upate yenye 1nz tan cc 1490 hii ni mkataba yanSikweli mkuu, VX, V8, Rangerover yanauwezo wa kufika bila kupumzika, unakula bites na soda huku unakanyaga gia. Nataka kujua kama ist inaweza au itanilipukia njiani
asante,,hebu tusaidie mapungufu ya IST na gari zingine za model hiyo hiyo,,mfano why IST and not raumAcheni kudanganyana hakuna gari dunia ya leo inahitaji kupumzishwa kisa kwa sababu ya mwendo mrefu. Mfumo wowote wa engine za magari umetengenezwa kuweza kujipoza wenyewe hasa inapokuwa safarin na ndo maana kuna Oil na maji. Unless hiyo gari ni mbovu. Gari yoyote ile ina perform vizuri zaidi kwenye cooling systems inapokuwa kwenye mwendo kuliko kwenye folen kama za Dar. So, kutoka Mwanza mpaka mtwara sio issue wala haina uhusiano na ukubwa wa engine. Tofauti kubwa ya gari kubwa ama ndogo kwenye safari ndefu ni ile comfortability tu kwa maana kwamba Mwenye gari ndogo atachoka sana kuliko Mwenye VX na hii ni kwa sababu gari ndogo inahitaji nidham kwenye mashimo na road humps wakati gari kubwa kwenye shimo au bumps we ndo unaongeza mwendo , au kwenye kona, wa gari ndogo lazima upunguze mwendo wakati gari kubwa unapita na speed hata over 180 as long as you know what you are doing. Uliza swali lolote kuhusu huu uzi na ntakujibu maana nimeisha safiri na gari tofauti tofauti so najua nina uzoefu na pia sipendi kupoteza muda kwa maana ya speed