Apps za matangazo ya biashara

abudist

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
850
781
Tunazo apps na tovuti za bure za matangazo ya biashara kwa Tanzania maeneo yote.

Kutangaza biashara yako ya bidhaa na huduma tumia tovuti hii hapa Tanzapages na
app yake pakua hapa Google Play

Tanzapages.png


Kuuza bidhaa na huduma kwenye matangazo madogo madogo (classifieds) tumia tovuti ya Bongofree Classified. Pia app yake pakua hapa Google play.

classified.png
 
Back
Top Bottom