Computer4Sale Nauza Laptop Toshiba Satelite

charles ogopa tapeli

Senior Member
Jul 15, 2013
122
49
Wasalaam wana jamvi.
Nauza laptop Toshiba Satelite
Specification
RAM 4GB
Processor Core i3 , 2.18 ghz
Hard Disk 500 GB
Life span ya battery 2hours plus
Computer iko kwenye ubora wake.
5bea1a0c6dcca95007c8d912259f8860.jpg

Anae hitaji ufanye Uni PM tuongee biashara.
 
Mimi nilidhani kuwa huyo Charles ndiye anayeonywa juu ya mtu tapeli?
Lakini kwa kutuondolea hofu mkuu weka bei yake, imetumika kwa muda gani,na unapatikana wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom