Nyumba ipo Kongowe kibaha ina vyumba 2 kila chumba na choo yake iliyokamilika.
Kuna kiwanja kuendeleza ujenzi
Bei ni million 15 Bei ndogo kulingana na hali mbaya ya mdololo wa kiuchumi
Ukubwa...
Asante kwa kusoma uzii huu kwako wewe mwanajamii forum
Nauza nguruwe kwa ajili ya kuchinjwa wapo kumi na tatu,
Wapo Marangu mamba mkoani Kilimanjaro,
Wanauzito kuanzia kilo 54 mpaka kilo 69,bei...
Vunja Bei Matelephones.
Tunauza Laptops mpyaa na Tablets za kisasa, original full accessories kwa Punguzo la 30%
LAPTOP.
Brands zilizopo ni Dell, HP, Toshiba, Acer, Assus & Sony.
Kuanzia Duo...
Wadau nauza maeneo yanayofaa kwa makazi cheka kigamboni kama ufuatavyo;
Heka moja-Tsh 15m
Nusu heka-Tsh 7m
20*20-milion 3.5
Maeneo haya yote hayako mbali sana na main road. Serious buyer nitafute...
Kuna eneo linauzwa maeneo ya dege kigambon ambalo lina ukubwa wa 30*25. Ni jiran na magorofa ya dege mkono wa kushoto kama unaelekea beach ya kichangani. Ni eneo zur ambalo utalipenda mnunuzi. Bei...
Anatafutwa mtaalam wa kuandaa pizza, sandwich, burger, nk. kwa kiwango cha hali ya juu. Awe tayari kuishi mkoani maana ndiko biashara inakotarajiwa kufunguliwa . (makao makuu ya mkoa fulani...
Nimesoma maelezo kwenye mtandao husika, wameandika kuwa inatumia electricity. Je, is it reliable kwa mazingira yetu ya hapa bongo? Mtu mzoefu naomba anisaidie
Kipo Madale kwa Kawawa, kilometer moja kutoka Barabara ya Madale ilipo nyumba ya Mzee Kawawa.
Kina ukubwa wa hatua 25x25. Kipo kwenye makazi ya watu na kina nafasi za kutanuka kulia na kushoto...
Habari,
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napatikana Dar na nlikua nahitaji miche michache kwa ajili ya kupanda nyumbani kwangu japo nipate matunda toka nyumbani.
Naomba msaada wa kujua wapi...
Ndugu zangu,
Kwa jina naitwa Fabian,umri wangu ni miaka 30 nipo mkoa wa Dar es salaam,elimu yangu ni taaluma ya teknolojia ya habari ngazi ya cheti tu,kutokana na kukosekana kwa ajira hapa kwetu...
Karibisha ndugu jamaa na wahamie smart na namba zao zilezile za mitandao mingine wapate kuongea BURE mwaka mzima na gharama nafuu kupiga Simu mitandao mingine kwa bei nafuu zaidi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.