TOHATO
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,253
- 4,191
Kwa waliomaliza form four na wenye matarajio ya kusoma ADVANCED MATHEMATICS na kwa wakazi wa Dar es salam nawatangazia nafundisha tution kwa bei nafuu ;
Nipo chuoni UDSM tena niko likizo hivyo nina muda mzuri wakufundisha.. nina uzoefu wa kutosha wa kufundisha Advanced Mathematics kwani ni mwalimu wa tution marufu hapa DAR
na nina matokeo mazuri sana ya Advanced Mathematics ( A of Advanced mathematics)
so kama una uhutaji ni PM,,,
hata kama wewe ni form six waitaji malizia baadhi ya topic ili ufanye mtian wa form six waeza ni cheki pia.....
Kwa wale pia wenye uhitaji wa scientific calculate ( device) pia ninazo za kutosha ambazo ni original ila ni used ...
karibuni sana